English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Malalamiko na Mrejesho
|
Barua pepe za watumishi
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dira na Malengo
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Muundo wa Taasisi
Idara
Utumishi na Rasilimali Watu
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Fedha & Biashara
Afya
Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
Ujenzi & Zimamoto
Maendeleo Ya Jamii
Mazingira & Usafishaji
Elimu ya Msingi
Elimu ya Sekondari
MIfugo & Uvuvi
Ardhi & Maliasili
Water
Vitengo
TEHAMA & Uhusiano
Ugavi na Manunuzi
Uchaguzi
Sheria
Nyuki
Ukaguzi wa Ndani
Fursa za Uwekezaji
Huduma Zetu
Afya
Elimu
Water
Kilimo
Mifugo
Uvuvi
Madiwani
Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
Kamati za kudumu.
Ratiba
Miradi
Itakayotekelezwa
Inayoendelea
Iliyokamilika
Machapisho
Sheria Ndogo
Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
Mpango Mkakati
Fomu Mbalimbali
Miongozo Mbalimbali
Majarida
Ripoti Mbalimbali
Majarida
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hotuba
Maktaba ya Picha
Video
Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
Kitengo hiki ni kipya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, kutokana na maboresho ya muundo wa Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofanyika mwaka 2011.
Kitengo hiki kinaundwa na na kada ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) pamoja UHUSIANO.Kwa sasa kitengo kina watumishi wawili ambao ni
1.Afisa TEHAMA mmoja na
2.Afisa Habari & Uhusiano mmoja
Kitengo hiki kina majukumu makuu yafuatayo:
A. TEHAMA
Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa.
Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA
Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programu mbali mbali
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA
kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kumtumika.
Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kieletroniki katika Halmashauri.
Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Networl) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana.
Kuandaa mpango, najeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri.
Kutengeneza utaratibu wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga.
Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA.
Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho.
Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.
Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi.
Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutumika
Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inpatikana wakati wote.
B. HABARI na UHUSIANO
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuuu juu ya uendeshaji wa Kazi za Habari na Uhusiano.
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za uhusiano katika Halmashauri.
Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri.
Kutangaza maeneoe ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio, majarida na njia nyinginezo za mawasiliano.
Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpa kila wakati pamoja na wasifu wa Wilaya (District Profile)
Kuandaa na kutoa habari za halmashauri katika machapisho.
Kushiriki katika mijadala ya jamiikuhusu masuala ua Halmashauri.
Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii.
Kusimamia Press briefing za Halmashauri.
Kuishauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbali mbali.
Matangazo
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
July 04, 2022
TANGAZO LA AJIRA-NDDH
July 06, 2022
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021
December 21, 2020
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI -WMA
May 14, 2022
Angalia zote
Habari Mpya
UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MOROTONGA
May 20, 2022
SERIKALI NA WADAU WAUNGANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ATHARI ZA MVUA SERENGETI
May 15, 2022
MVUA YAATHIRI MIUNDOMBINU NA KUJERUHI NATTA
May 11, 2022
UZINDUZI WA OFISI ZA UHAMIAJIA SERENGETI KUSAIDIA WAKAZI NA WAGENI
May 07, 2022
Angalia zote