Imewekwa: April 21st, 2017
Serikali Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara imelenga kuimarisha mahusiano yenye tija na hoteli za kitalii zilizopo ndani na nje ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Hayo yamebainika katika ziara iliyofan...
Imewekwa: April 5th, 2017
Wakazi wa Wilaya ya Serengeti wametakiwa kupanda miti isiyopungua 30 kwa kila kaya huku kila mkulima wa tumbaku kupanda miti isiyopungua 300 kwa mwaka.
Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa Wilaya y...
Imewekwa: March 7th, 2017
Kitengo cha manunuzi na ugavi kimefanya ufunguzi wa zabuni za ujenzi wa barabara ya lami nyepesi yenye urefu wa Kilometa 2 katika mji wa mugumu na zabuni za matengezo ya mtandao wa barabar...