Imewekwa: August 16th, 2019
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mh. Marwa Ryoba amewataka wananchi na wadau wote wa maendeleo Wilayani Kuhakikisha kuwa wanajenga Maboma ili Serikali Kuu nayo iweze kuchangia katika miradi mbali mbali.
...
Imewekwa: August 10th, 2019
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W) kupitia Idara ya Ujenzi na Zimamoto imewataka wananchi wote kufuata taratibu za kiuhandisi katika ujenzi wowote ikiwemo kuhakikisha wanakuwa na vibali vya ujenzi (Buil...
Imewekwa: July 24th, 2019
Leo tarehe 24/07/2019 ofisi ya Afisa Mwandikishaji Jimbo la Serengeti imeendesha mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi wa Kata zilizopo...