Imewekwa: April 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji ameipongeza Taasisi ya World Changer Vision kwa namna inavyoigusa jamii ya Serengeti na Watanzania kwa ujumla hasa katika sekta ya elimu na afya.
...
Imewekwa: April 16th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Leo Aprili 16, imezindua programu jumuishi ya kitaifa juu ya malezi, makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto, programu ambayo imejikita katika kukuza afya bora kwa mto...
Imewekwa: March 25th, 2024
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii katika kujenga jamii yenye usawa na yenye kujitambua kwa vijana wa kike na kiume imewakusanya pamoja wanafunzi wa kike zaidi ya 1,243 na wav...