Imewekwa: December 28th, 2022
UPANDAJI MITI.
UVCCM kata ya Matare wakipanda Miti Katika zahanati ya kata ya Matare kitongoji cha manyunyi.
ambapo miche 370 imepandwa na wameahidi kuisimamia na kuit...
Imewekwa: December 30th, 2022
Wananchi wilayani Serengeti Wahimizwa kushiriki usafi wa Mazingira katika eneo la makazi yao sambamba na katika makazi yao.
...
Imewekwa: December 7th, 2022
Chama cha walimu Tanzania Wilayani Serengeti kimetoa Baiskeli 5 zenye thamani ya Tsh 975,000/=kwa baadhi ya walimu wenye ulemavu kutoka shule za msingi ili ziwasaidie katik...