Imewekwa: February 2nd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji ameyafunga machimbo ya matare yaliyopo kitongoji cha kanisani kufuatia kifo cha Mchimbaji wa kokoto Sendi Chacha Nyantori (16) mara baad...
Imewekwa: February 3rd, 2023
Watendaji wa kata wilayani Serengeti wamehimizwa kuhakikisha wanasimamia na kutekeleza kikamilifu mkataba wa lishe ili kuweza kuleta matokeo chanya katika afua za lishe wilayani hapa.
...
Imewekwa: February 1st, 2023
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya wilaya ya Serengeti imeazimia kuwa kila shule ihakikishe inatoa huduma ya chakula shuleni kwa wanafunzi ambapo katika robo ya Pili idadi ya shule...