Imewekwa: January 6th, 2025
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Jeremiah Mrimi Amsabi amekabidhi gari la wagonjwa katika Kituo cha Afya Iramba kilichopo katika kata ya Kenyamonta Wilayani Serengeti ambapo gari hiyo itasaidia...
Imewekwa: January 4th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Kemirembe Lwota, leo Januari 04, 2025 ameshiriki zoezi la usafi uliofanyika katika mji wa Serengeti kwa kushirikiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti...