• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA MATUNDU YA 12 YA VYOO SHULE YA SEKONDARI ROBANDA

Imewekwa: October 30th, 2022



Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe. Samson R. Wambura ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kisangura ,Imefanya Ziara ya Kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Matundu 12 ya vyoo vya wasichana katika  Shule ya Sekondari Robanda yenye gharama ya Tshs.13,200,000/= zilizopokelewa Tarehe 28.12.2021 kutoka halmashauri ya wilaya ya Serengeti kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi huo.Pamoja na Mchango wa  bati 17 zilitolewa na mbunge wa Jimbo la Serengeti Dkt.Amsabi Mrimi zimetumika kupaua vyoo hivyo.

Aidha  Wananchi walileta viashiria vyenye thamani ya Tsh.8,450,000/= Mpaka sasa Mradi huo umekamilika.Uongozi wa Shule hiyo imeomba kujengewa matundu 10 ya vyoo vya wavulana ili kukidhi uwiano ulipo kutokana na ongezeko la wanafunzi.

 Kamati imeipongeza shule kwa usimamizi mzuri wa mradi na kuichukua changamoto ya uitaji wa matundu mengine 10 kwa ajili ya vyoo vya   wavulana.





Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA YA UELIMISHAJI RIKA JUU YA VVU NA UKIMWI November 11, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERENGETI YATOA MIKOPO ISIYO NA RIBA ZAIDI YA MILIONI 136/-

    January 13, 2023
  • WANANCHI SERENGETI WAHAMASIKA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    December 31, 2022
  • UVCCM SERENGETI YAPANDA MITI KITUO CHA AFYA

    December 28, 2022
  • HAMASA KUSHIRIKI USAFI WA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI

    December 30, 2022
  • Angalia zote

Video

KAMATI YA ALAT MARA YAVUTIWA NA MRADI WA TANKI LA KUVUNIA NA KUHIFADHIA MAJI MACHINJIONI/SERENGETI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti