• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MATUNDU 28 YA VYOO SHULE YA MSINGI PARKNYIGOTI

Imewekwa: November 1st, 2022



Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Samson R. Wambura ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kisangura ,imefanya Ziara ya Kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi Wa Matundu 28 ya Vyoo  vya program ya usafi wa mazingira na usambazaji wa Maji vijijini (SWASH-SRWSSP) Katika shule ya Msingi Park Nyigoti.


Shule ya Msingi park  Nyigoti  ni shule jumuishi yenye darasa la Awali hadi darasa la saba. Shule ina jumla ya wanafunzi 570.Fedha kwa ajili kutekeleza mradi huu zilipokelewa tarehe 05/07/2021 kiasi cha Tshs.35,301,125.56. Serikali na wananchi walitoa michango kwa ajili ya kutekeleza mradi huu ambao umekamilika na umeanza kutumika.

Kamati imeipongeza Kamati shule  na uongozi wa kata na kijiji kwa usimamizi mzuri wa mradi na ushirikishwaji wa wananchi na kuwataka kuutunza mradi huo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA YA UELIMISHAJI RIKA JUU YA VVU NA UKIMWI November 11, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERENGETI YATOA MIKOPO ISIYO NA RIBA ZAIDI YA MILIONI 136/-

    January 13, 2023
  • WANANCHI SERENGETI WAHAMASIKA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    December 31, 2022
  • UVCCM SERENGETI YAPANDA MITI KITUO CHA AFYA

    December 28, 2022
  • HAMASA KUSHIRIKI USAFI WA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI

    December 30, 2022
  • Angalia zote

Video

KAMATI YA ALAT MARA YAVUTIWA NA MRADI WA TANKI LA KUVUNIA NA KUHIFADHIA MAJI MACHINJIONI/SERENGETI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti