• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WORLDCHANGER VISION ILIVYOREJESHA MATUMAINI YA ELIMU KWA WATOTO 5 SERENGETI

Imewekwa: September 10th, 2022


Taasisi ya Worldchanger Vision iliyopo wilayani Serengeti Mkoa Wa Mara,imeendelea kugusa na kurejesha matumaini ya kielimu kwa watoto wengi wilayani Serengeti ambao wapo  katika mazingira magumu na yanayokatisha tamaa kuendelea na Elimu.



Katika kutambua umuhimu na faida kubwa iliyopo katika kuwekeza katika elimu haswa kwa watoto  taasisi hii imejikita katika kuhakikisha watoto wote wanapata elimu sawa na wale ambao wapo  katika mazingira mazuri.



Taasisi hii  yenye chuo cha ufundi wilayani Serengeti imekuwa na manufaa kwa  vijana wengi wilayani hapa na kusadia watoto hao kupat Ujuzi na  hatimaye kuweza kujiajiri.



Familia ya Ndg.Makuru chacha,kupitia kitengo cha ustawi wa Jamii cha wilaya ya Serengeti, imeweza kuguswa  na shirika hili  na kuwezesha watoto wa 5 wa familia hiyo kupata mahitaji yote ya shule ili waweze kurejea shuleni baada ya kukwama kuendelea ana masomo baada ya kukosa mahitaji muhimu.



‘’ili kupata madaftari na sare za shule za mimi na wadogo zangu ilipasa nifanye nifanye kazi kwa juhudi kwani baba angu hajiwezi ni mlemavu,ulemavu alioupata kutoka na kukanyagwa na tembo akiwa shambani na hivyo kumfanya kupata ulemavu wa kudumu na mama yetu alikimbia familia miaka mingi iliyopita,hivyo nikiwa kijana mkubwa wa familia hii inanipa kupambana ili kuilea familia’’alisema mwita


Pamoja na jitahada za mtoto huyu bado hakufanikiwa kufanikisha mahitaji yake na wadogo zake hivyo ikamfanya kufika ofisi za ustawi wa jamii na kupitia Mdau World changer kupata msaada huo.




Aidha,idara kupitia wadau wake tasisi ya worldchanger vision iliwashika mkono watoto hawa na kuwawezesha kwa mahitaji yote  ya shule na hivyo kurejea shuleni kuendelea na masomo.



Kwa upande wa Mratibu wa Taasisi ya  Worldchanger vision  Ndg.Sulus Samweli Akitoa msaada wa vifaa vya shule kwa  watoto hao kwa niaba ya Taasisi hiyo amemuomba mlezi wa watoto hao kuhakikisha anawahimiza watoto hao kuhudhuria masomo kwa kuwasimamia kwa ukaribu kwa  na wameahidi kama taasisi wataendelea kuwafaatilia kwa ukaribu ili watimize ndoto zao.


Kupitia ushirikiano huu kati ya serikali na wadau ni chachu kubwa ya  kuondoa changamoto zilizopo katika sekta ya elimu,hivyo kuondoa watu wasiojua kusoma na kuandika katika Jamii.


Tunawashukuru na kuipongeza Taasisi ya WCV Kwa kuonesha upendo wa Hali ya Juu kwa kuwa Msaada kwa Jamii ya Serengeti haswa Watoto.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. June 11, 2025
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WADAU WA ZAO LA TUMBAKU WATAKIWA KUZINGATIA MIONGOZO YA KILIMO CHA ZAO LA TUMBAKU ILI KUPATA TIJA YA ZAO HILO.

    June 17, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA PARK NYIGOTI SERENGETI WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA GRUMETI FUND.

    June 13, 2025
  • GRUMETI FUND YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA VIJANA WA KIKE NA KIUME WILAYANI SERENGETI.

    June 04, 2025
  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti