• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

UZINDUZI WA OFISI ZA UHAMIAJIA SERENGETI KUSAIDIA WAKAZI NA WAGENI

Imewekwa: May 7th, 2022

Na.

Goodluck Mwihava

Serengeti

 Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji,amezindua rasmi ofisi za  uhamiaji wilaya ya Serengeti,Mkoa wa Mara uzinduzii huo ulihudhuriwa na wadau  pamoja na wananchi mbalimbali.

Dkt.Mashinji amewashukuru  na kuwapongeza wadau waliojitokeza  katika kuboresha ofisi hizo za   uhamiaji lakini pia aliwakumbusha wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo  umuhimu  wa ofisi hizo

’’  ofisi za uhamiaji hivi karibuni zimekuwa ni jeshi kamili na hamna nchi inaweza kwenda bila kuwa na idara ya uhamiaji,kwa sababu lazima tuwe na uthibiti wa watu wanaoingia na kutoka nchini na hata wale wanaozaliwa ndani ya nchi hii lazima tuwatambue’’ alisema Dkt.Mashinji.

Pia,aliwakumbusha Wananchi na wageni walikwa kuwa idara ya uhamiaji ina majukumu mengi sana ikiwemo kuwatambua  wananchi wote waliopo ndani ya nchi,aliwasisitiza wananchi kutumia ofisi hizo na kufuata taratibu zote za kisheria ili kufanya nchi kuwa salama na kuepuka wahamiaji haramu na changamoto zingine.

‘’Ofisi  uhamiaji zinajukumu pia za kuhakikisha kwamba wanaofanya kazi ndani ya  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Watanzania,na wanafanya kazi kwa Maslahi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo’’alisisitiza Mkuu wa wilaya.

Aidha,amewakumbusha  raia wakigeni waliopo wilaya Serengeti kupata vibali vya kufanya kazi ndani ya wilaya Serengeti lakini pia wageni wote wanaoingia ndani ya  Nchini kutambulika na kufata taratibu zote kinyume na hapo hatua za kisheria zitachukuliwa.


Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Serengeti  inaofisi nyingine 3 ambazo ni Serengeti,Seronera,borogonja.Majukumu mengine ya  ofisi za uhamiaji  ni kutoa elimu ya uhamiaji,kutoa hati za kusafiria,kufanya doria,Upelelezi,Misako,kudhibiti uingiaji wa wageni haramu,kutoa vibali vya walowezi,kuongeza muda kwa wageni pia kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama.

‘’Ofisi za uhamiaji Serengeti zilianza  ukarabati tangu Januari,2022  Kwa muda mrefu tulikuwa tuna jengo chakavu,Tunawashukuru  kampuni ya SB Tanzania Limited,Yenye Hotel ya Melia Serengeti waliamua kutusaidia kufanya ukarabati huo’’alisema afisa uhamiaji wilaya ya Serengeti Esia E. Mwakyusa

Akisoma risala kwa mgeni Rasmi afisa uhamiaji Wilaya ameomba kuboreshewa ofisi Zaidi kukidhi matakwa  ya  kijeshi kwani ofisi hizo bado hazijajitosheleza.Ametoa wito kwa wadau Zaidi kujitokeza kusaidia  vitu mbalimbali  pamoja na ujenzi wa ofisi za kisasa Zaidi.

Kaimu afisa uhamiaji Mkoa  wa Mara Bw.Shabani Kinanda ameshukuru msaada huo wa ukarabati wa jengo hivyo kwani  itaongeza morali kwa maafisa na kusaidia katoa huduma kwa wananchi kwa weledi. Nao Wananchi wameshukuru kwa ofisi hizo kwani itasaidia kurahisisha shughuli za uhamiaji.

‘’Tunashukuru kwa ajiri ya uzinduzi wa hili Jengo kwa maana wao ni wadau wakubwa katika kukamilisha zoezi la Nida,katika ugawaji wa vitambulisho vya Taifa kwa sababu bila wao kazi yetu inakwama kwahiyo inamchango mkubwa na tunautambua sana.’’ Alisema Afisa usajiri Wilaya ya Serengeti vitambulisho vya Taifa NIDA Bi.Christina Josinga

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 04, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA-NDDH July 06, 2022
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI -WMA May 14, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MOROTONGA

    May 20, 2022
  • SERIKALI NA WADAU WAUNGANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ATHARI ZA MVUA SERENGETI

    May 15, 2022
  • MVUA YAATHIRI MIUNDOMBINU NA KUJERUHI NATTA

    May 11, 2022
  • UZINDUZI WA OFISI ZA UHAMIAJIA SERENGETI KUSAIDIA WAKAZI NA WAGENI

    May 07, 2022
  • Angalia zote

Video

AFISA MIFUGO SERENGETI APONGEZA UGAWAJI WA MBUZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • RUWASA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti