• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

SERIKALI NA WADAU WAUNGANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ATHARI ZA MVUA SERENGETI

Imewekwa: May 15th, 2022

Kutokana na Mvua kali iliyoambata  na upepo Mkali Kuangusha Miti na kuezua paa za Taasisi na Makazi katika kata ya Natta mnamo tarehe 09 Mei 2022, Kamati ya Ulinzi na usalama(W) ilitembelea Taasisi na wahanga walioathiriwa na Mvua hiyo,Na Mkuu wa Wilaya Serengeti kutoa wito kwa Wadau kujitokeza ili Kutatua changamoto Hiyo kwa pamoja.


Wadau wamejitokeza na kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi kwa kushirikiana na serikali.ambapo Mpaka sasa Miti yote iliyoangukia  taasisi imeondolewa na huduma za umeme zimerejea Baada ya TANESCO kuchukua hatua za Haraka.


Aidha,uandaji wa BOQ umekamilika na Zoezi la ujenzi limeanza.Kampuni ya Grumeti Resevers imetoa msaada wa vifaa ujenzi vyenye thamani ya  Mil.9 ambavyo ni Mabati 210 na Misumari.


Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt.Vincet Mashinji amewashukuru Wananchi waliojitokeza kutoa msaada wa Hali na Mali kwa michango na nguvu kazi yao ili kuhakikisha taasisi zinarudi katika hali yake ya kawaida  na kuendelea kutoa huduma,Lakini pia amesisitiza kila Mwanafunzi kuwa na Mti na kila kaya kupanda miti katika maeneo yao.


Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Serengeti Ndg.Kivuma H.Msangi amewapongeza wananchi na wadau waliojitokeza kwa kujitoa kuhakikisha hali ya taasisi zinatengemaa.


Mwalimu Mkuu wa Shule Natta Mbisso Ameishukuru Serikali na Wadau waliojitokeza  kusaidia kutatua changamoto hiyo ya kuezuliwa kwa kwa madarasa  manne.


Nae,Meneja uhusiano wa Kampuni ya Grumeti reserves Bw. David Mwakipesile amesema ‘’Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wenzetu wa kijiji cha Natta tulikuja na kuona hali ya uharibifu ambao umesababishwa na Janga hili la Mvua na Upepo  Mkali,na sisi baada ya kuona tuliona tutoe mchango wetu kama Majirani Hivyo tumetoa Mabati na misumari yake.’’


Ifikapo Siku ya Jumatatu tarehe 16 Mei 2022,Marekebisho katika tasisi yatakuwa yamekamilika na shughuli kuendelea kama kawaida huku tahadhari Zaidi zikiendelea kuchuliwa  ili kujikinga na majanga ya aina hayo kwa kupanda miti kwa wingi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MAGEREZA May 12, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERENGETI MEI.4 May 04, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI April 18, 2023
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 December 13, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SIKU YA HEDHI SALAMA DUNIANI | GRUMETI FUND YATOA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI 640 SERENGETI

    May 28, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI SERENGETI LAHIMIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    May 25, 2023
  • NYANSAHO ATOA MAJIKO YA GESI 190 KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SERENGETI

    May 12, 2023
  • MIL. 940 KUBORESHA ELIMU YA AWALI NA MSINGI SERENGETI

    May 07, 2023
  • Angalia zote

Video

DKT.MASHINJI ASITISH A SHUGHULIZA UCHIMBAJI KOKOTO KUFUATIA KIFO CHA MCHIMBAJI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti