Kila ifikapo tarehe 28 Septemba ya Kila mwaka ni siku ya kichaa Cha mbwa Duniani,Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeadhimisha siku hiyo Kwa kufanya zoezi la uchanjaji wa mbwa sambamba na kutoa Elimu juu kichaa Cha mbwa Kwa wananchi.
Ambapo Kaulimbiu ya mwaka huu ya Siku ya Kichaa cha mbwa 2023 ni Yote kwa Moja, Afya Moja kwa Wote.
Matukio mbalimbali wakati wa zoezi la uchanjaji
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti