• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

NYANSAHO ATOA MAJIKO YA GESI 190 KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SERENGETI

Imewekwa: May 12th, 2023


Chama cha walimu (CWT) wilayani Serengeti kupitia kitengo cha wanawake kimefanikiwa kuwezesha upatikanaji wa majiko 190 kutoka kwa mdau wa maendeleo  Ndg.Rhimo Nyansaho kupitia Taifa Gesi,upatikanaji wa gesi hizo zitasaidia katika uhifadhi wa mazingira na kuokoa muda wa walimu katika kujipatia chakula wawapo shuleni na kufaidisha walimu 1753.



Akikabidhi majiko hayo ya gesi  kwa walimu  wawakilishi mahala pa kazi kutoka shule 190 mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent mashinji amempongeza Ndg.Nyansaho kwa kushirikiana na  Taifa gesi kwa kutoa  majiko hayo ya gesi

 ‘’ Tumepata majiko 190 tunawashukuru sana Taifa gesi,naomba mtuletee na gesi zingine ikiwezekana na kwenye magereza mkatusaidie tuweze kuweka gesi tupunguze uharibifu wa mazingira naomba  wanaserengeti tukubaliane kimsingi pale tunapopata vijana wanaotoka kwenye maeneo yetu,ambao wanapenda kutuletea maendeleo tuache maneno ya kuwakatisha tamaa,’’, amesema mashinji

Aidha ,Dkt.Mashinji amewapongeza wadau mbalimbali wa maendeleo kwa kutoa misaada yao katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo wilayani  Serengeti na kutoa wito kwa  wakazi wa Serengeti kuwapa ushirikiano wadau wa maendeleo.

Naye Mwenyekiti wa CWT wilaya ya Serengeti Mwl.Lusawi Mayala amekipongeza kitengo cha walimu wanawake kwa kuvulia njuga upatikanaji wa majiko hayo ya gesi,aidha amewakumbusha walimu waliofaidika na msaada huo wa majiko kuwa majiko hayo pia ni zana za kufundishia hususani katika kuelemisha wanafunzi juu ya nishati safi na faida za matumizi ya nishati hiyo ili kuondoka na uharibifu wa mazingira.

Kwa upande wa  Mwenyekiti wa CWT kitengo cha wanawake Mwl.Rahabu Mgesi amesema’’katika ziara tulibaini kwamba walimu wengi wanakaa nje  na vituo vya kazi,ili kuleta ufanisi katika majukumu yao tukaona ipo haja ya kutafuta  majiko ya gesi ili kuweza kuharakisha walimu kupata chai wawapo shuleni’’

Katibu CWT Mkoa wa Mara Susane Shesha amemshukuru  Ndg.Nyansahao kwa namna alivyojitoa katika kutoa msaada wa majiko hayo ya gesi,na amewataka walimu kutunza majiko hayo ili yaweze kudumu.

Awali akisoma risala kwa mgeni Rasmi katibu wa CWT kitengo cha wanawake Mwl.Grace Mutaengerwa amesema ‘’kitengo cha walimu wanawake kwa kutambua michango ya walimu katika kuinua kiwango cha elimu  na  uhifadhi mazingira kiliwasilisha maombi yao ya msaada  ya kupatiwa majiko ya gesi kwa mdau wa elimu Rhimo Nyansahao,Mdau huyu kwa kushirikiana na Taifa gesi wamewezesha shule zote 190 kupata majiko ya gesi’’

Hafla hiyo fupi ilijumuisha viongozi mbalimbali wa  Serikali,Chama cha walimu Mkoa wa Mara na Serengeti, pamoja na taasisi mbalimbali zilizopo wilayani Serengeti.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. June 11, 2025
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • TANGAZO LA KUTOA MAONI KUHUSU SHERIA NDOGO. February 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WADAU WA ZAO LA TUMBAKU WATAKIWA KUZINGATIA MIONGOZO YA KILIMO CHA ZAO LA TUMBAKU ILI KUPATA TIJA YA ZAO HILO.

    June 17, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA PARK NYIGOTI SERENGETI WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA GRUMETI FUND.

    June 13, 2025
  • GRUMETI FUND YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA VIJANA WA KIKE NA KIUME WILAYANI SERENGETI.

    June 04, 2025
  • SIKU YA MALARIA WILAYANI SERENGETI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti