• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini amefungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi ndani ya Ukumbi wa Halmashauri

Imewekwa: January 29th, 2021

Baraza la Wafanyakazi limeketi leo 29/01/2021 ndani ya Ukumbi wa Halmashauri ya Wilayaya Serengeti na kufunguliwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhandisi Juma Hamsini na kuzungumzia kwa ufupi juu ya maslahi ya Wafanyakazi kwa ujumla na namna ya utendaji kazi na hasa katika suala zima la kusimamia majukumu katika kila Idara ndani ya Halmashauri ya Serengeti lakini pia kuheshimiana katika kazi 


Katika Kikao hicho pia Ndugu Gasper Irigo ambaye ni Afisa Tarafa Rogoro amemuwakilisha Mhe Nurdin Babu Mkuu wa Wilaya ya Serengeti kwenye Kikao cha Baraza la Wafanyakazi ambacho kinafanyika muda huu ndani ya Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

                                                                                            Ndugu Gasper Irigo (muwakilisha  Mkuu wa Wilaya ya Serengeti)




Katika Kikao hicho Uchaguzi ulifanyika ambapo pia Afisa Utumishi Rebecca Alex Msambusi alitoa mwongozo wa Uchaguzi wa Katibu na Katibu Msaidizi ambapo Deokali Mtaita alichaguliwa kuwa Katibu na Bi Judith Alphonce alichaguliwa kuwa Katibu Msaidizi

                                                                                                 Afisa Utumishi Rebecca Alex Msambusi katika picha akitoa maelekezo



Baada ya Uchaguzi ,Mr. Deokali Mtaita alichaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi na Bi Judith Alphonce Katibu Msaidizi wa Baraza la Wafanyakazi ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti 2021 hadi 2023.


                                                              Mr. Deokali Mtaita ( Katibu wa Baraza la Wafanyakazi) na Bi Judith Alphonce (Katibu Msaidizi)



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI July 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. June 11, 2025
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI KWA WAENDESHA BVR NA WAANDISHI MSAIDIZI April 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. March 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MAMLAKA YA MJI MDOGO SERENGETI LAZINDULIWA LEO.

    July 10, 2025
  • TSC SERENGETI YAENDESHA MAFUNZO ELEKEZI KWA WALIMU WAPYA 89.

    July 09, 2025
  • DAS MASIKO AKABIDHIWA OFISI.

    July 04, 2025
  • DC ANGELINA AKABIDHIWA OFISI

    July 04, 2025
  • Angalia zote

Video

AKINA MAMA SERENGETI WASEMA ASANTE MAMA SAMIA.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • UCHAGUZI KIDATO CHA KWANZA 2022 SERENGETI DC
  • FOLLOW US INSTAGRAM
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017
  • FOLLOW US TWITTER

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • Frankfurt Zoological Society (FZS)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti