Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake na Watoto wa Kike Duniani tarehe 6 Februari, 2023,
kauli mbiu: "Wanaume na Wavulana; Tushiriki Kupinga Mila na Desturi zenye Madhara ili kutokomeza Ukeketaji".
Mara bila Ukeketaji inawezekana, timiza wajibu wako.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti