Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Vicent Anney amekutana na kufanya kikao na wakuuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na Taasisi Mbalimbali Wilaya hapa.
Pamoja na Mambo mengine Dkt.Anney amesisitiza uwajibikaji,kujituma na kufanya kazi Kwa weledi na kuwasisitiza Kila mmoja kutekeleza wajibu wake ipasavyo.
Kwa upande wa kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg.Bwenda Bainga amemshukuru na kumuhaidi Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kufanyia kazi maelezo na maigizo yote aliyoyatoa.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti