Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti leo Machi 04, 2025 kwa kauli moja limepitisha bajeti ya halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa Mwaka wa fedha 2025/2026 kiasi cha shilingi bilioni 48.8, ambapo shilingi bilioni 6.7 zinakisiwa kukusanywa kutoka mapato ya ndani, ruzuku ya mishahara shilingi bilioni 29. 4, ruzuku ya matumizi mengineyo bilioni 2.5 na miradi ya maendeleo shilingi bilioni 10.2.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti