• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Upatikanaji wa Huduma za Maji safi Wilaya ya Serengeti

Mahitaji ya maji kwa ajili ya binadamu na mifugo Wilaya ya Serengeti ni Mita za ujazo 42,438 kwa siku. Uwezo wa kutoa huduma hii kwa sasa ni Mita za ujazo 24,275 kwa siku, ambayo ni sawa na 58.68% ya mahitaji ya maji kwa Wilaya. Idadi ya kaya zinazopata huduma ya maji ndani ya Meta 400 ni 16,628 tu sawa na 40% ya kaya zote wilayani. Kaya 24,942 sawa na 60% ya kaya zote hupata huduma nje ya Meta 400.

Katika eneo la Mjini, Mamlaka ya Maji Mugumu (MUGUWASA) imeendelea kutoa huduma kwa wananchi ambapo kwa upande wa vijijini huduma imeendelea kutolewa kupitia ofisi ya Mhandisi wa maji Wilaya na kwa ngazi ya vijijini Kamati za maji ambazo ndivyo vyombo vya usimamizi zimeendelea kusimamia utoaji huduma.

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI NA SHULE ZA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 SERENGETI. December 23, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHAGUO LA PILI SHULE ZOTE January 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jacob Bega na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma wafanya ziara ya kutembelea Kata kuhamasisha Maendeleo

    February 24, 2021
  • Wananchi Kata ya Kebancaha wajenga Sekondari Halamshauri ya Wilaya yapeleka Mbati 240,Mifuko ya Saruji 150 na Mbao 360 kuongeza nguvu

    February 20, 2021
  • Mshauri wa Tasaf Ndugu Sokoro Mnubi amekamirisha zoezi la uwasilishaji wa Fedha za Kaya Masikini Tarafa ya Ngoreme pamoja na Ikorongo 19/02/2021

    February 19, 2021
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Serengeti na Mkurugenzi Mtendaji wakanusha upotevu wa Mapato 80% taarifa iliyoripotiwa jamii forum 17/02/2021

    February 18, 2021
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti