• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano

Kitengo hiki ni kipya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, kutokana na maboresho ya muundo wa Mamlaka za Serikali za Mitaa yaliyofanyika mwaka 2011.

Kitengo hiki kinaundwa na na kada ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) pamoja UHUSIANO.Kwa sasa kitengo kina watumishi wawili ambao ni

1.Afisa TEHAMA mmoja na

2.Afisa Habari & Uhusiano mmoja

Kitengo hiki kina majukumu makuu yafuatayo:


A. TEHAMA

  • Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa.

  • Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA

  • Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programu mbali mbali

  • Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA

  • kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kumtumika.

  • Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kieletroniki katika Halmashauri.

  • Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Networl) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana.

  • Kuandaa mpango, najeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri.

  • Kutengeneza utaratibu wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga.

  • Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA.

  • Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho.

  • Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.

  • Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi.

  • Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutumika

  • Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inpatikana wakati wote.


B. HABARI na UHUSIANO

  • Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuuu juu ya uendeshaji wa Kazi za Habari na Uhusiano.

  • Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kutekeleza kazi za uhusiano katika Halmashauri.

  • Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri.

  • Kutangaza maeneoe ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio, majarida na njia nyinginezo za mawasiliano.

  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpa kila wakati pamoja na wasifu wa Wilaya (District Profile)

  • Kuandaa na kutoa habari za halmashauri katika machapisho.

  • Kushiriki katika mijadala ya jamiikuhusu masuala ua Halmashauri.

  • Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii.

  • Kusimamia Press briefing za Halmashauri.

  • Kuishauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbali mbali.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) MWAKA 2018 January 24, 2019
  • Ratiba ya Mitihani ya kuhitimu kidato cha sita Mwaka 2018 January 28, 2018
  • Orodha ya majina ya watumishi wanaostahili kulipwa malimbikizo ya mishahara. February 10, 2018
  • Tangazo la nafasi za kazi - Afisa Mtendaji wa Kijiji III (Nafasi 37) March 16, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WA KIJIJI CHA MAKUNDUSI WAKABIDHIWA MADARASA MAPYA MAWILI KUPITIA UFADHILI WA SINGITA GRUMETI FUND

    December 28, 2018
  • Fedha za Tasaf chachu ya maendeleo ya kaya masikini Serengeti.

    July 12, 2018
  • Human Bridge watoa msaada wa Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Serengeti.

    June 22, 2018
  • Wakulima Wa Pamba Serengeti Wahofia Mfumo Mpya Wa Ulipwaji wa fedha zao.

    May 29, 2018
  • Angalia zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti akiongelea kuhusu ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Serengeti.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0732 985 408

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti