• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

OR TAMISEMI YATOA MSAADA WA KOMPYUTA NA PRINTA KWA AJILI YA VITUO VYA AFYA

Imewekwa: February 22nd, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti tumepokea Kompyuta (Desktop) tano na Printa tano kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, kwa ajili ya Vituo vya afya vitano ambavyo ni Natta, Iramba, Kebanchebanche, Kemgesi na Machochwe.Tunategemea vifaa hivi vitaongeza thamani katika juhudi za serikali za kuimarisha utoaji wa huduma bora za afya katika vituo tajwa.

Kabla ya Kukabidhi sehemu ya msaada wa vifaa hivyo katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya, Mh. Juma Porini Keya (Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya) aliishukuru sana Serikali kwa mchango wa vifaa hivyo.

Mh. Porini aliongeza kwa kusema “Naamini watazitumia vizuri kuhakikisha kwamba lengo na makusudio ya kuzipata hizi mashine wanatekeleza kwa hiyo naomba wazitunze vizuri sana lakini pia zisiwepo kama mapambo kuhakikisha wanazitumia na kadri ya maelekezo yalivyotolewa” alisema

Kwa upande wao Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Natta DKT Crisantus Magori na Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Iramba DKT Golobana Wellah Wakipokea mashine hizo kwa niaba ya Vituo vyote Vitano walisema wanaishukuru sana Serikali kupitia OR TAMISEMI kwa msaada huu japo bado kuna uhaba wa vifaa kama hivyo lakini wanashukuru hata kwa hivi walivyovipata sasa.

DKT Crisantus Magori mwenye shati Jeupe pamoja na DKT Emiliana Donald (kaimu Mganga mkuu wa Wilaya) mwenye Blauzi ya pinki wakipokea sehemu ya vifaa vilivyotolewa na Serikali kupitia OR TAMISEMI  kutoka kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Juma Porini Mwenye shati la Kijivu

DKT Golobana Wellah (kushoto) pamoja na DKT Emiliana Donald (kaimu Mganga mkuu wa Wilaya) mwenye Blauzi ya pinki wakipokea sehemu ya vifaa vilivyotolewa na Serikali kupitia OR TAMISEMI kutoka kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Juma Porini Mwenye shati la Kijivu

Picha ya pamoja baada ya halfa fupi ya kupokea vifaa

Matangazo

  • TANGAZO KWA WANANCHI WOTE WALIOOMBA KUJENGA VIBANDA ENEO LA STENDI YA MABASI December 06, 2019
  • TANGAZO KWA WAZABUNI WOTE November 12, 2019
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MICHE YA MITI April 10, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MH. RYOBA ALIA NA MABOMA

    August 16, 2019
  • WANANCHI WATAKIWA KUWA NA VIBALI VYA UJENZI

    August 10, 2019
  • JIMBO LA SERENGETI LAENDESHA MAFUNZO KWA MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA

    July 24, 2019
  • SERENGETI YAENDESHA SEMINA YA UHAKIKI WA TAARIFA ZA USULUHISHI WA KIBENKI (BANK RECONALIATION) KWA WAHASIBU

    July 04, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti akiongelea kuhusu ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Serengeti.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti