• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Kitengo cha Sheria

Kitengo cha sheria kina watumishi wawili ambao ni;

1.. Wakili Maganiko B.D.Msabi (ambae ni mkuu wa kitengo cha sheria) pamoja na

2. Wakili Veronica c. lukanda .


Kitengo hiki kina shuughuli kuu za utekelezaji wa mipango ,upitishaji na ufuatiliaji wa sheria ndogo za kodi ya majengo ,ushuru wa huduma za usafi na mazingira ,Ada na ushuru wa marekebisho ya  kanuni za kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.

Aidha kitengo hiki kina wajibu wa kuhakikisha dhana ya Sheria ya demokrasia inafikiwa kwa kutimiza majukumu yafuatayo:


  • Kutoa ushauri juu ya mambo yote ya kisheria.

  • Kusimamia kesi mahakamani .

  • Kutoa ushauri katika vikao vya menejimenti na vya halmashauri nzima vilivyopo kwa mujibu wa sheria.

  • Kupitia mikataba na kutafsiri vyema  na kufuatilia utelekezaji wake;

  • Kusaidia utungaji wa sheria ndogo  na kufuatilia upitishaji  na utekelezaji wake .

  • Kujenga uwezo kwa masuala ya kisheria .

  • Kusimamia uundwaji wa mabaraza ya ardhi ya kata na kuyasimamia katika utendaji wa kazi zake .

  • Kutoa ushauri wa kisheria na msaada huo kwa wananchi.


                        

Karibu wananchi wote kwa msaada wa kisheria

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI NA SHULE ZA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 SERENGETI. December 23, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHAGUO LA PILI SHULE ZOTE January 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini atangaza Msiba wa Mtumishi Idara ya Afya Tabibu Mkuu Loti Misinzo

    March 07, 2021
  • Mwenyekti wa Chama cha Mapinduzi Mhe Jacob Bega na Mwenyekti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ayub Mwita Makuruma waendelea na ziara Kata ya Nyamoko na Kebanchabancha

    March 01, 2021
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jacob Bega na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma wafanya ziara ya kutembelea Kata kuhamasisha Maendeleo

    February 24, 2021
  • Wananchi Kata ya Kebancaha wajenga Sekondari Halamshauri ya Wilaya yapeleka Mbati 240,Mifuko ya Saruji 150 na Mbao 360 kuongeza nguvu

    February 20, 2021
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti